The best I town

www.phestothegreat.blogspot.com

Friday, November 30, 2012

AA

SHALO MILIONEA APOTEZA MAISHA.

 Japo ni jambo lililo waumiza watanzania wengi, kwani msanii huyo wa bongo music na bongo movies aliibukwa kupendwa sana na mashabiki wa tasnia hizi mbili,
   Kifo cha shalo milionea kimekuwa ni cha pili kati wasanii nguli wa filamu nchini baada ya marehemu STEVEN KANUMBA kilichotokea mnamo mwezi april 2012.   


Marehem shalo milionea alifariki tarehe 25, mwazi novemba 2012 kwa ajali ya gari aliyokuwa akisafiria toka Dar akielekea kwao jijini Tanga, ndugu wa marehemu shalo milionea waliieleza blog hii ya Phesto Said (The young dad) kuwa safari ya marehemu shalo milionea ilikikuwa na kwa ajili ya kumpekea mama yake mzazi pesa kwa ajili ya kumsaiidia ktk shughuli zake za kilimo,japo mama yake alikiri kuwa mwanae huyo nd ndie aliyekuwa tegezi ktk familia yao.






MAZISHI YA SHALO MILIONEA, ilikuwa ni ajabu sana ktk jiji latanga lililovamiwa na msongamano wa watu toka mikoa ya jirani wlio kwenda kumsindkiza marehemu Shalo milionea ktk nyumba yake kudumu
 hata hivyo wengi hawakuridhishwa na maandalizi ya mazishi ya marehemu huyo.

Add caption
















MWILI WA MAREHEMU BAADA YA AJALI

Hivi ndivyo ulivyo kuwa mwili wa marehemu shalo milionea baada ya kukutwa na mauti kwani watu wanadhaniwa kuwa vibaka waliweza kumvua kila cha gharama alichokuwa nacho.








REST IN PEACE SHALO.

No comments:

Post a Comment