Watanzania wenzangu tunapaswa kuapongeza serikari ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa kujali maombi ya wananchi juu ya mabadiliko ya katiba, na tume ukusanyaji maoni imeundwa lkn tume hiyo imeshindwa kuwafikia wananchi wote ili kupata maoni yao. Je, lawama zielekezwe kwa serikari au tume?
No comments:
Post a Comment